Uncategorized

DOGO JANJA – NINA USEMI KATIKA NDOA YANGU

Msanii kutoka bongo flavor Dogo Janja' ambaye pia ni mume wa msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amedai katika ndoa yao yeye ndio mwanaume na mwenye sauti ya kutoa maamuzi ya jambo lolote tofauti na watu wanavyomfikilia. Dogo Janja amebainisha hayo na kusema. "Ukiwa hauna maamuzi au sauti kwa mke wako wa halali ni kitu… Continue reading DOGO JANJA – NINA USEMI KATIKA NDOA YANGU

Uncategorized

HAMISA MOBETO AINGIA KWENYE TASNIA YA MUZIKI

TANZANIA: Mwana mitindo Hamisa Mobeto ametengeneza wimbo mpya alioupa jina la Madam Hero ambao ni moja ya wimbo wake mpya kwa ajili ya Foundation yake inayofahamika kama The Mobetto Foundation ukiwa na ujumbe wa kuhamasisha wanawake kutokata tamaa na kusonga mbele.Hamisa Mobetto ambaye amesema kuwa wimbo huo atauachia soon kwenye moja ya Apps za Muziki… Continue reading HAMISA MOBETO AINGIA KWENYE TASNIA YA MUZIKI

English, Uncategorized

List Of Artists That Deserve Full Recognition in UG-Bebe Cool

BEBE COOL has just made a post on Facebook on artists that deserve full recognition from Uganda.surprisingly a few major UG artists are not in the list, check the list below LIST OF ARTISTS THAT DESERVED FULL RECOGNITION Ykee benda-Superman,Eva,Malaika Fik fameica -Byenyenya,Kutama Sheebah-Rambo,Muwe Irene ntale -Kyolowoza,Stamina daddy Roden y kabako-Stani tonkema Vinka -Over dose,Malaika… Continue reading List Of Artists That Deserve Full Recognition in UG-Bebe Cool