NEWS

Mike Sonko’s daughter hospitalized!

  Saumu mbuvi, Mike sonkos daughter is now back on social media, after taking a break off .She reveals why she did so . Saumu decided to take her life private after the break up which tore her apart.She broke up with Benson Gatu and needed time to get back on her feet. The governor's… Continue reading Mike Sonko’s daughter hospitalized!

ENTERTAINMENT, swahili

ZARI- Mimi na Diamond tumesaidiana kujulikana

zari katika interview moja, kuhusu iwapo Diamond Platnumz amemsaidia kujulikana, alisema kuwa, yeye kuwa na diamond kumewasaidia wote wawili. Hii ni kinyume na watu wasemavyo kuwa Diamond ndiyr aliyemsaidia. alisema haya "Naweza kusem ndiyo na hapana, ndiyo kwa sababu sahivi tumekuwa couple yenye nguvu  watu wanapenda kutuongelea sana na vitu kama hivyo hata hivyo kabla… Continue reading ZARI- Mimi na Diamond tumesaidiana kujulikana

ENTERTAINMENT, swahili

Diamond Platnumz – Nimepanga kufungua kituo cha redio na televisheni

Mwaka wa 2018 unaonekana wenye malengo ya juu kwa sana kwake msanii maarufu Damond PLatnumz kwani ameweka wazi rasmi kuwa atakafungua kitua cha televisheni na redio nchini Tanzania. mwezi uliopita, meneja wake Babu Tale, alidokeza katika siku yake ya kuzaliwa alitoa habari katika insta yake kwa kudokeza tu, na kuandika "New Video an radio coming… Continue reading Diamond Platnumz – Nimepanga kufungua kituo cha redio na televisheni