ENTERTAINMENT, swahili

ZARI- Mimi na Diamond tumesaidiana kujulikana

zari katika interview moja, kuhusu iwapo Diamond Platnumz amemsaidia kujulikana, alisema kuwa, yeye kuwa na diamond kumewasaidia wote wawili. Hii ni kinyume na watu wasemavyo kuwa Diamond ndiyr aliyemsaidia. alisema haya "Naweza kusem ndiyo na hapana, ndiyo kwa sababu sahivi tumekuwa couple yenye nguvuĀ  watu wanapenda kutuongelea sana na vitu kama hivyo hata hivyo kabla… Continue reading ZARI- Mimi na Diamond tumesaidiana kujulikana

ENTERTAINMENT, swahili

Diamond Platnumz – Nimepanga kufungua kituo cha redio na televisheni

Mwaka wa 2018 unaonekana wenye malengo ya juu kwa sana kwake msanii maarufu Damond PLatnumz kwani ameweka wazi rasmi kuwa atakafungua kitua cha televisheni na redio nchini Tanzania. mwezi uliopita, meneja wake Babu Tale, alidokeza katika siku yake ya kuzaliwa alitoa habari katika insta yake kwa kudokeza tu, na kuandika "New Video an radio coming… Continue reading Diamond Platnumz – Nimepanga kufungua kituo cha redio na televisheni